
Monday, 7 April 2008
sio inshu maselaaa!
S
Sio inshu hata kidogo eti unampotezea kiumbe mwezako uhai wake eti kwasababu ya nyama!Kama nyama zipo nyingi tena tamu kuliko za binaadamu,iiweje unazikacha zote hizo na kung'ng'nia kupoteza maisha ya vichanga visivyo na hatia yoyote ile?Inasikitisha kupita maelezo si tu kwa kuona bali hata kusikia upuuzi huo kwani ni kinyume na haki za kabinadamu.Tubadilike jamani

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment