Sunday, 30 March 2008

mnanionea buree jamaaniiii

hii ni kauli alioitoa kijana huyu baada ya kufumaniwa akimtendea kinyume mnyama huyu kwa kudai kuwa anaonewa kwani hata mnyama nae ni kiumbe na anastahili starehe!dah huu si msala jamaniii!

No comments: