Sunday, 30 March 2008

ebwanaaeee mambo ya tour hayoo


hivi ndivyo wanavyoonekana wanafunzi wa Muslim University of Morogoro wakiwa maeneo ya Arusha mjini walipoenda kutembelea Manyara National Park wiki tatu zilizopita,ilikua baaab kubwa!

No comments: