Sunday, 30 March 2008

bongo kama mamtoni(uk)

maelfu ya mashabiki wa muziki wa kizazi kipya wakimsikiliza kwa makini mfalme wa rhymes akitumbuiza jukwaani katika uwanja wa jamhuri mjini Morogoro siku moja kabla ya mkesha wa Pasaka.

No comments: