Sunday, 30 March 2008

Ahadi ni deni

kaburi lililojengwa mithili ya gari katika makaburi ya kinondoni jijini Dar,kijana huyu alikua anafanya kazi kwa mzungu,mzungu huyo alisafiri kwa muda na aliahidi kumnunulia gari pindi atakaporudi toka safarini,kwa bahati mbaya aliporudi alimkuta mfanya kazi wake ameshafariki ndipo alipoamua kumjengea mfano wa gari katika kaburi hilo ili kutimiza ahadi yake aliyoweka kabla ya kuondoka.

No comments: