
ni fahari kubwa kufa ukiwa unatekeleza ibada ya M/Mungu,kwani ni sawa na kufa shahidi.kijana huyu amefariki akiwa anatekeleza ibada tukufu ya M/Mungu katka msikiti wa ANNABAWIY uliopo Madina,tena amekufa akiwa katika sijda.Ni ishara tosha kwamba kijana huyu anaenda kuishi misha mazuri huko akhera kwani amekufa akitekeleza ibada ya M/MunguTunamuomba M/Mungu atujaalie tufe tukwa mashaid.ameen
No comments:
Post a Comment