Monday, 31 March 2008

ebwana lazima tushindee!

Wanamuziki wa kizazi kipya wajulikanao kama Wanaume Halisi wakiwa wamepozi kwa kupiga picha mda mfupi kabla ya kuongea na waandishi wa Habari leo Dr es salaam.Kunzi hilo linaloongozwa na Juma Nature linategemewa kupambana na Wanaume family lililo chini ya ungozi wa mh Temba masaa machache yajayo,huku kila kundi likidai kuibuka kidedea.

No comments: