Monday, 31 March 2008

adha ya mvua!!!111


Foleni kubwa iliosababishwa na mvua kali ilyotokea hivi karibuni sehemu nyingi za Dar es salaam,mvua hiyo imekua kero kwa wakazi wa jijini humo kwani inasababisha foleni kubwa ya magari.

No comments: